MKUU wa wilaya ya Songea Pololet Mgema amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Madaba kuhakikisha kituo cha afya Mtyangimbole ambacho serikali imetoa shilingi milioni 400 kutekeleza mradi huo,kinaanza kutoa huduma ya upasuaji ili kusogeza huduma jirani na wananchi.Tazama zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=rBRq-oSw8SQ&t=62s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.