• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

KITUO cha polisi cha kisasa chafunguliwa Namtumbo kwa gharama ya milioni 798

Imewekwa kuanzia tarehe: June 22nd, 2025

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu, amefungua rasmi Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma chenye hadhi ya Daraja B, kilichojengwa kwa gharama ya Shilingi milioni 798

. Ujenzi wa kituo hicho ni sehemu ya juhudi za Serikali za kuboresha miundombinu ya usalama nchini.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Katibu Mkuu Gugu alimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake mahiri unaotoa kipaumbele kwa sekta ya usalama. 

Aidha, alimshukuru Mbunge wa Jimbo la Namtumbo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Vita Kawawa, kwa mchango wake mkubwa katika kufanikisha mradi huo.

Gugu alieleza kuwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita, Serikali imeongeza juhudi kubwa katika kuboresha mazingira ya kazi kwa askari polisi, kwa kujenga na kukarabati vituo vya polisi nchini, hatua inayolenga kuimarisha huduma za ulinzi kwa wananchi. Alisisitiza kuwa ujenzi wa kituo hicho ni mfano wa namna Serikali inavyowekeza katika usalama wa wananchi wake.


Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RUVUMA yang'aa kwenye ramani ya maendeleo;uwekezaji wa Trilioni 1.8 wageuza maisha ya wananchi

    June 23, 2025
  • KISIMA cha maji chawakomboa wananchi Luhangarasi Nyasa

    June 23, 2025
  • KITUO cha polisi cha kisasa chafunguliwa Namtumbo kwa gharama ya milioni 798

    June 22, 2025
  • JENISTA MHAGAMA akabidhi mashine na ng'ombe Peramiho

    June 22, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.