Kongamano la mashujaa wa vita ya majimaji mwaka huu linatarajia kufanyika Februari 25 mjini Mbambabay Wilaya ya Nyasa
kumbukizi ya mashujaa wa Majimaji mwaka huu itazinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas kwenye viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea Februari 23na kilele chake kinatarajia kuwa Februari 27 ambapo mgeni rasmi anatarajia kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.