Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma umebarikiwa kuwa na vivutio lukuki mwambao mwa ziwa Nyasa,kikiwemo kisiwa cha Lundo ambacho kipo ndani ya ziwa Nyasa.ili kufika kwenye kisiwa hicho inakuchukua takribani dakika 45 kutoka mjini Mbambabay makao makuu ya Wilaya ya Nyasa hadi kukifika kisiwa hicho ambacho kinavutia wengi na shughuli mbalimbali za maadhimisho ya utalii yamekuwa yanafanyika katika ksiwa hiki ambacho serikali kupitia Mamlaka ya wanyamapori Tanzania TAWA wanatarajia kuweka wanyamapori ambao wanaendana na mazingira ya kisiwa hicho.
Muonekano wa kisiwa maarufu cha Lundo katika ziwa Nyasa.Tazama habari kwa kina hapa http://www.ruvuma.go.tz/new/tawa-kuanzisha-hifadhi-ya-wanyamapori-kisiwa-cha-lundo-ziwa-nyasa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.