Jemedari wa Wangoni Nduna Songea Mbano yeye alinyongwa pekee yake tarehe 4/3/1906 inadaiwa wajerumani baada ya kumuua walizika kiwiliwili bila kichwa katika kaburi la pekee yake ndani ya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Songea. Kichwa cha Songea kilichukuliwa na wajerumani na fuvu la kichwa chake limehifadhiwa nchini Ujerumani.
Mashujaa wengine 66 wa.linyongwa tarehe 27/2/1906 na kuzikwa katika kaburi la pamoja ndani ya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Mahenge Songea.
Kila mwaka ifikapo Februari 27,Mkoa wa Ruvuma unafanya kumbukizi ya mashujaa 67 wa vita ya Majimaji waliouawa kikatili na wajeruman
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.