Muonekano wa mabweni na madarasa mapya katika shule ya sekondari ya wasichana ya Masonya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma ambapo serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa fedha za kutekeleza mradi huu ambao umekamilika kwa asilimia 100 na wanafunzi wanaosoma katika sekondari hiyo wananufaika
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.