Muonekano wa sekondari mpya katika Kata ya Matarawe Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma iliyojengwa kupitia programu ya Uboreshaji wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) mradi ambao umekamilika kwa asilimia 100 na tayari wanafunzi wameanza masomo katika sekondari hiyo yenye mazingira bora ya kusomea.
Picha ya chini ni muonekano wa shule mpya ya msingi Kata ya Matarawe Halmashauri ya Mji wa Mbinga,mradi ambao umekamilika na wanafunzi wameanza kusoma katika shule hiyo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.