Soko la madini la 43 nchini maalum kwa ajili ya madini ya vito na dhahabu lililopo wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, lilizinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan Septemba 2024,
Ujenzi wa soko hili umegharimu kiasi cha billion 1.4 zilizotokana na Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kutekelezaji Sera ya kushirikiana na sekta binafsi ambapo Serikali imeweka fedha kiasi na kiasi kingine kimechangiwa na wafanyabiashara wa madini waliopo Wilayani Tunduru
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.