Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema ili kukabiliana na virusi hatari vya Corona kuanzia sasa kunawa maji yanayotiririka kwa sabuni au sanitizer ni suala la lazima na kwamba yeyote atakayekataa kunawa atachukuliwa hatua za kisheria.SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=Hlp4KKpZEnY&t=14s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.