Miss Utalii Tanzania 2020 Ruvuma Fidea Hilary akiwa katika bustani ya asili ya Luhira iliyopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.Bustani hii ilianzishwa mwaka 1974
Luhira ndiyo bustani pekee ya asili ya wanyama iliyopo mjini.Bustani nyingi zilizoanzishwa mjini sio za asili.Katika bustani ya Luhira kuna wanyamapori kama vile pundamilia,nyoka wakubwa,nyani na mimea ya aina mbalimbali ambayo inavutia watalii wa ndani na nje ya nchi.
Bustani ya Luhira inapatikana kilometa saba tu kutoka katikati ya Mji wa Songea,unaweza kufika kwa njia ya barabara au ndege na kuweza kufurahia vivutio vya utalii katika enei hili.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.