KSIWA cha Lundo kilichopo ndani ya ziwa Nyasa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ,kinafaa kwa shughulin za uwekezaji kwa kuwa kina vivutio vingi ikiwemo upatikanaji wa samaki wa mapambo ambao ndiyo kivutio cha wageni wengi wanaotembelea ziwa Nyasa lenye aina 400 za samaki wa mapambo.Ksiwa hiki kina ukubwa wa meta za mraba 20.TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=M1b2_OcWZiU
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.