Maadhimisho ya Siku ya Mtoto Afrika mkoani Ruvuma yamefanyika hii leo Juni16, 2023 kwenye uwanja wa Luwinga katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo ambapo mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas, ambaye amewakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi.
Maadhimisho ya Siku ya Mtoto Afrika ufanyika kila mwaka ifikapo Juni 16 na kauli mbiu ya mwaka huu ni "Zingatia Usalama wa Watoto katika Ulimwengu wa Kidijitali"
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.