Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Songea Dkt, Yose Joseph Mlyambina akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas, katika siku ya kilele cha maadhimisho ya wiki ya utoaji elimu ya sheria kwa wananchi wa mkoa wa Ruvuma yaliofanyika kwenye viunga vya Mahakama Kuu Kanda ya Songea na kuhudhuriwa na viongozi, watumishi wa Mahakama pamoja na wadau wa Sheria leo Februari 01, 2023 Mjini Songea mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.