Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Kituo cha Mlingano Tanga inatoa mafunzo ya siku mbili kwa maafisa Ugani toka Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma yanayohusu afya ya udongo ,matumizi bora ya mbolea na kilimo bora cha mkonge.Mafunzo hayo yaliyofunguliwa na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Jeremiah Sendoro yanafanyika kwenye ukumbi wa Mipango Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.