MILANGO YOTE IWE IMEFUNGWA KWENYE HOSPITALI IFIKAPO DESEMBA 10
MKuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo kuhakikisha wanatekeleza maagizo ya Waziri Mkuu kwa kufunga milango yenye hadhi ya hospitali ya Wilaya hadi kufikia Desemba 10 mwaka huu ambapo amesisitiza kuwa kazi zote ziwe zimekamilika.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.