KILA mwaka kabila la wangoni linaadhimisha siku maalum ya kabila la wangoni katika eneo la Maposeni Peramiho wilayani Songea mkaoni Ruvuma.Chifu wa Tano wa Kabila la wangoni Nkosi Imanuel Zulu Gama aliyevaa mavazi maalum ya utawala wa jadi mwaka huu katika maadhimisho hayo yanayoenda sanjari na kumbukizi ya mashujaa 67 wa vita ya Majimaji amewaalika machifu kutoka mikoa saba ya Mbeya,Dodoma,Njombe,Rukwa,Mtwara,Lindi na Iringa ambao wapo mkoani Ruvuma kwa ajili ya maadhimisho hayo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.