Dkt John Wright kutoka Bradford Royal Infirmary (BRI) anaelezea baadhi ya majaribio yanayoendelea kwa ajili ya kupata tiba ya Covid-19, na mchanganyiko wa aina tatu za dawa ambazo zinaweza kuwa ufunguo wa tiba ya corona.SOMA habari kwa kina hapa https://www.bbc.com/swahili/habari-52807562
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.