• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MAFUNZO ya makarani wasaidizi wa Uchaguzi mdogo Madaba yafungwa

Imewekwa kuanzia tarehe: September 15th, 2023

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Madaba wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Sajidu Idrisa Mohamed amefunga mafunzo ya Makarani yaliyofanyika kwa siku moja  ambapo amewaagiza makarani hao kuzingatia yote yaliyofundishwa.

Mafunzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa ofisi ya Mkurugenzi  Halmashauri ya Madaba amewapongeza wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Jimbo pamoja na Maafisa kutoka Tume ya Uchaguzi kwa ushirikiano ulioonyeshwa kwaajili ya kutoa mafunzo hayo kwa Makarani.

“Mkasimamie zoezi la uchaguzi kwa weledi kama mlivyofundishwa  pamoja na kuwa makini katika zozi hili la Kitaifa tutangulize Maslahi ya Taifa Mbele”.

Hata hivyo amesema Makarani hao watakapo kuwa katika eneo la kituo cha uchaguzi wazingatie kuwa nadhifu pamoja na kujiamini kupitia maarifa waliyo patiwa na  wasimamizi wasaidizi wa Jimbo.

“Najua asubuhi mmekula kiapo cha kujitoa uanachama na  kutunza Siri  tunaamini mtaenda kujiamini pamoja na kuwa na Lugha ya staha kwa wapiga kura”.

Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Zakia Mohamed Abubakari mara baada ya mafunzo hayo kumalizika amewapongeza Makarani waongoza wapiga kura kwa mafunzo  usikivu na uelewa wa haraka.

Hivyo Kamishna amesisitiza kuwapa kipaumbele wenye mahitaji maalum na kutojisahau wanapokuwa katika kituo cha uchaguzi

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PICHA ya Rais Samia yapamba mti wa kihistoria Namtumbo

    June 01, 2025
  • TAIFA lamlilia Songambele Shujaa wa Uhuru aliyeishi karne moja

    June 01, 2025
  • SHAMBA la AVIV Tanzania ni mfano wa kuigwa nchini

    June 01, 2025
  • SEKONDARI ya Dkt.Samia alama ya maendeleo Namtumbo

    June 01, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.