Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Odo Mwisho imetembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa zahanati ya Kipingo Kata ya Lituta Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ambapo serikali imetoa shilingi milioni 100 kukamilisha ujenzi wa zahanati hiyo ambayo tayari imeanza kutoa huduma kwa wananchi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.