Makabidhiano ya Mwenge was Uhuru 2024 kati ya Mkoa wa Ruvuma na Njombe yanafanyika leo Juni 16,2024 katika kijiji cha Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe.Mwenge wa Uhuru ulianza mbio zake mkoani Ruvuma Juni 8,2024 na umekamilisha Juni 15,mwaka huu baada ya kukagua na kutembelea miradi mbalimbali yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 46 katika Halmashauri nane za Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.