MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philipo Mpango amewaagiza watendaji wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kuacha vitisho kwa wafanyabiashara wanapotekeleza kazi yao ya kukusanya kodi toka wafanyabiashara.SOMA habari kwa kina hapa https://www.ippmedia.com/sw/habari/mpango-aitaka-tra-iache-vitisho-kwa-wafanyabiashara
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.