MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango ameridhia kuweka jiwe la msingi mradi wa barabara ya Matomondo-Mlale Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma yenye urefu wa kilometa 3.5 iliyojengwa kwa kiwango cha lami nzito na kilometa 19 iliyojengwa kwa kiwango cha changarawe kwa fedha kiasi cha shilingi bilioni nne zilizotolewa na serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.