Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Ruvuma kwa kuweka jiwe la msingi mradi wa maji kata ya Liuli Wilaya ya Nyasa ambao unatekelezwa na serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 4.7
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.