pichani katikati ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akiwa katika picha na Askofu wa Jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo kulia pichani wa mwisho ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas.Makamu wa Rais alikuwa mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya siku tano ambapo ameweza kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.