Pichani wa kwanza kushoto ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Komred Paul Makonda katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas wakiwa kwenye viwanja vya Matarawe Manispaa ya Songea ambako ulifanyika mkutano wa hadhara kuzungumza na wananchi.
Makonda yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya siku mbili ukiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kutembelea mikoa 20.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.