MAMLAKA ya Elimu Tanzania TEA imewezesha kujengwa jengo la kisasa lenye uwezo wa kuishi familia sita za walimu wa sekondari katika kijiji cha Lituhi ili kumaliza changamoto ya nyumba za kuishi walimu katika kijiji cha Lituhi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma.Tazama zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=UsUcodMtjLM
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.