• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MANISPAA ya Songea yatumia milioni 30 kutengeneza madawati 500

Imewekwa kuanzia tarehe: February 6th, 2020

Halmashauri ya Manispaa ya Songea imetumia shilingi milioni 30  kwa ajili ya utengenezaji madawati 500,yatakayotumika kwa wanafunzi wa shule ya Msingi na Sekondari.

Kwa mujibu Afisa Elimu Msingi Manispaa ya Songea Zakia Fandey Idara inatarajia kugawa madawati 200 yenye thamani ya sh.milioni 10, ikiwa ni  fedha za mapato ya ndani ya bajeti ya mwaka wa fedha 2019/2020.

“Mahitaji ya madawati kwa sasa katika shule za msingi Manispaa ya Songea ni 17822, madawati yaliyopo ni 14958 na pungufu ni 2864’’,alisema.

Katika kukabiliana na changamoto hiyo, Manispaa ya Songea katika Bajeti 2020/2021,imetenga  zaidi ya shilingi milioni 20  ambayo itatumika kutengeneza madawati 400.

Naye Afisa Elimu Sekondari Manispaa ya Songea  Devota Luwungo, amesema Idara yake inatarajia kugawa Viti na  Meza 300 vyenye thamani ya  sh.milioni  20 ikiwa ni  fedha za mapato ya ndani Bajeti ya 2019/2020.

Hata hivyo amesema, Mahitaji ya meza kwa sasa ni 15214, yaliyopo kwa sasa  ni 9733, upungufu ni 5481 ambapo  mahitaji halisi ya viti  kwa sasa  ni 15214, yaliyopo ni 9990, na pungufu ni 5224.

Aidha katika kutatua changamoto katika shule za sekondari, Manispaa ya Songea  katika mwaka 2020/2021,imetenga  zaidi ya sh.milioni 15 kwa ajili ya kutengeneza viti na meza 230.

Manispaa ya Songea ina shule za msingi 94 na shule za sekondari 40.

 Imeandaliwa na Amina Pilly

Afisa Habari Manispaa ya Songea 

Februari 6,2020

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.