Kikao Cha Baraza la UWT Wilaya ya Nyasa ,kimefanyika Katika ukumbi wa Bay live. Lengo la kikao ni kutathimini kazi za umoja wa wanawake (UWT) zilizofanyika, na uhai wa Chama na jumuiya, utekelezaji wa miradi katika Kata na Kila Diwani viti Maalum anatoa taarifa. Mgeni Rasmi katika Baraza hili ni mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya.
Akizungumza katika kikao hicho Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya mewataka wanawake kushikamana na kushirikiana ili kuiletea Maendeleo Wilaya ya Nyasa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.