Pichani wa kwanza kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanyaalipowatembelea wajasiriamali wadogo wa samaki mjini Mbambabay Makao Makuu ya Wilaya ya Nyasa.Mhandisi Manyanya amewawezesha wajasiriamali hao shilingi 500,000 ili waweze kununua vifaa vya kukausha samaki.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.