MKUU wa Mkoa wa Ruvuma ameupongeza uongozi wa wilaya ya Songea wakiwemo Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea na Mkuu wa Wilaya ya Songea kwa kusimamia vizuri kituo kikuu cha mabasi cha Mkoa wa Rujvuma kilichopo Kata ya Tanga Manispaa ya Songea hali ambayo imesababisha kuongezeka mapato serikalini mara dufu toka shilingi 450 hadi 970,000 kwa siku.
Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=Qnftjc2H53g&t=1s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.