KATIBU Tawala mpya wa Mkoa wa Ruvuma Steven Mashauri mwenye suti nyeusi amewasili mjini Songea na kupokelewa na watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,tayari kwa kuanza majukumu yake baada ya kuteuliwa na Rais Dkt John Magufuli akichukua nafasi ya Profesa Riziki Shemdoe ambaye ameteuliwa na Rais kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.