Mto Ruvuma katika maporomoko ya Nakatuta ndani ya Pori la Akiba Liparamba wilaya ya Nyasa na picha ya chini ni Mto Ruvuma katika eneo la Tulila mpakani mwa wilaya za Songea na Mbinga.Katika eneo hili kuna mradi wa uzalishaji wa umeme wa maji unaomilikiwa na masista wa Kanisa katoliki wa Mtakatifu Agnesi Chipole Songea.
Mto Ruvuma wenye urefu wa zaidi ya kilometa 800 unaanzia milima ya Matogoro Songea mkoani Ruvuma na kumwaga maji yake Bahari ya Hindi mkoani Mtwara,
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.