MARAIS WATATU WALIVYOKUTANA KAMBI YA MUHUKURU WILAYA YA SONGEA MKOANI RUVUMA
Picha hii ilipigwa katika Kambi ya wapigania uhuru ya Muhukuru Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma,Kambi hiyo ilikuwa na wakimbizi 12,000.
Marais hayo ni waliokutana Muhukuru ni Baba wa Taifa MWL Julius Nyerere wa Tanzania,Samora Machel wa Msumbiji na Keneth Kaunda wa Zambia ilikuwa ni katika harakati za ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika ambapo Mkoa wa Ruvuma ulikuwa na wapigania uhuru ya 84,000 kutoka nchi za kusini mwa Afrika.
Philipo Maligisu ni Mhifadhi Kiongozi kutoka Makumbusho ya Taifa anasema Mkoa wa Ruvuma ndiyo Mkoa pekee nchini ulioongoza kuwa na kambi nyingi za kuhifadhi wapigania uhuru kutoka nchi za Kusini mwa Afrika
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.