Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amepiga marufuku kulima kwenye vyanzo vya maji pamoja na maeneo yote yaliyohifadhiwa kisheria ambayo hayatakiwi kuendesha shughuli zozote za kibinadamu.Alikuwa anazungumza na wananchi wa kijiji cha Amanimakoro Wilaya ya Mbinga
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.