Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas akiwa kwenye picha ya pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Songea, Ndugu Pololet Mgema (kushoto) pamoja na Mkuu mpya wa Wilaya ya Songea, Ndugu Wilman Kapenjama Ndile (kulia) baada ya kuapishwa leo Januari 31, 2023. katika viunga vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mjini Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.