• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MBINGA yagawa dawa za kinga za tiba za USUBI kwa asilimia 100.4

Imewekwa kuanzia tarehe: September 11th, 2023

HALMASHAURI  ya Wilaya ya Mbinga  mkoani Ruvuma imefikia  lengo la utoaji dawa  za Kinga tiba za Usubi kwa  kuwafikia wananchi 229, 414 sawa na asilimia  100. 4  ukilinganisha na mwaka 2022  ambapo zoezi hili lilifanikiwa kwa asilimia  84.

Kwa mwaka 2023  zoezi  la utoaji  dawa za Kinga  tiba  katika ngazi ya jamii  lililenga kuwafikia  wananchi 228,466 waishio katika viunga vya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.

Kaimu  Mkuu wa  Idara ya huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii  Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Dkt. Amad Mwalukungu ameeleza kuwa  mafanikio hayo yametokana na muitikio mkubwa wa wananchi baada ya kupatiwa elimu juu ya  faida ya dawa za Kinga tiba za Usubi.

"  Tumefikia  lengo  tulilojiwekea ,  na kabla ya yote tulitoa elimu ya kutosha na hii imesaidia  sana wananchi kujitokeza na kumeza dawa" Amebainisha Mwalukunga

Amefafanua kuwa zoezi hili la utoaji  wa dawa za Kinga tiba za Usubi  lilitekelezwa kwa siku saba kuanzia  tarehe 17 hadi 23 mwezi Agosti  katika  Kata 29  za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.

Kwa upande wake Mratibu wa magonjwa  yaliyokuwa hayapewi kipaumbele  Dkt. Joseph Washa Washa amebainisha kuwa zoezi hili liliratibiwa kwa kuwafuata wananchi katika Kaya zao ( nyumba kwa nyumba), hatua hii imewapunguzia gharama wananchi na kuwaondolea usumbufu wa kwenda katika vituo vya afya kupata huduma.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.