Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, ( Sera, Bunge na Uratibu) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Joakim Mhagama anatarajia kuanza Ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea.
Lengo la Ziara hiyo ikiwa ni kuzungumza na Wananchi wa Halmashauri ya Songea kuanzia tarehe 6/07/2024 hadi 15/07/2024. Mhe. Mbunge atatembelea wananchi katika kata zote zilizopo halmashauri ya Wilaya ya Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.