Menejimenti ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki imeendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya ya Nyasa kwa kuanzia imekutana na Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mheshimiwa Filibeto Sanga ofisini kwake mjini Mbambabay Februari 2,2023.
Menejimenti hiyo ikiwa wilaya ya Nyasa itatembelea miradi ya Majengo katika Hospitali ya Wilaya ya Nyasa, Kituo cha Afya Kingerikiti, madarasa mawili sekondari ya Limbu na kituo cha Afya Liparamba
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.