Kushoto ni Afisa Malalamiko na Kero kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Amina Tindwa na wataalamu wengine wakitazama nyaraka mbalimbali zinazohusiana na mgogoro wa ardhi ambao umedumu kwa miaka 14 katika kijiji cha Mbesa wilayani Tunduru .
Mgogoro huo ulianza mwaka 2011 na umeweza kutatuliwa mwaka 2025 ambapo haki imeweza kutolewa chini ya usimamizi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kupitia Kitengo chake kinachoshughulikia migogoro,malalamiko na kero zinazowakabili wananchi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.