Muonekano wa shule mpya ya kisasa ya msingi inayoitwa Chifu Zulu ambayo imejengwa katika Kata ya Mshangano Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,shule hii yenye mazingira bora ya kusomea tayari imeanza kuchukua wanafunzi wa shule ya msingi na ilizinduliwa rasmi Septemba 2024 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.