Kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ,Songea (HOMSO ) Dr. Magafu Mjura akipokea nyaraka za mashine mpya ya kisasa ambayo itatumika kutolea huduma za kinywa na meno (Dental 3D Cone Beam Computed Tomography Scan) .
Mashine hiyo imegharimu zaidi ya shilingi milioni 276, fedha ambazo zimetokana na makusanyo ya mapato ya ndani ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.