Pichani kulia ni Mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa Ruvuma Ndugu Jumanne Mwankhoo akizungumza baada ya kukagua mradi wa shule mpya ya msingi Mtelamwahi Kata ya Ligera Wilaya ya Namtumbo ambapo serikali kupitia BOOST imetoa shilingi milioni 331 kutekeleza mradi huo.
Sektretarieti ya Mkoa wa Ruvuma inakagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.