HALMASHAURI ya Mji wa Mbinga Mkoani Ruvuma, imetumia shilingi milioni 350 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba saba za wakuu wa Idara .Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Grace Quintine amesema Halmashauri yake katika kipindi cha mwaka 2019/2020 ilipokea kiasi cha sh.milioni 350 kwa ajili ya nyumba saba za wakuu wa Idara na kwamba shughuli za utekelezaji zilianza Machi 26 ambapo hadi sasa mradi umefikia hatua za umaliziaji.TAZAMA mradi huo zaidi hapa .https://www.youtube.com/watch?v=OJr4d2UZJYQ
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.