SERIkali imetumia shilingi milioni 400 kuboresha kituo cha afya Mchoteka kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma.Uboreshaji huo umeboresha pia huduma mbalimbali za afya zinazotolewa katika kituo hicho ikiwemo huduma za upasuaji.Tazama zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=lotiBUJDyKw
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.