Wanafunzi wa kidato cha kwanza katika sekondari mpya Kata ya Tuwemacho wilayani Tunduru mkoani Ruvuma ambayo imejengwa kupitia Program ya SEQUIP kwa gharama ya shilingi milioni 560.Sekondari hiyo imeanza kuchukua wanafunzi Januari 8,2024 hivyo kumaliza changamoto ya wanafunzi kusafiri kilometa 45 kila siku kufuata sekondari ya Namasakata
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.