Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametangaza Oktoba 22 mwaka huu kuwa ndiyo tarehe ya kufunguliwa masoko ya minada ya Korosho mkoani Ruvuma baada ya kupitishwa katika mkutano wa wadau wa Korosho uliofanyika mjini Tunduru.SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=ykn6co91Sx4
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.