Miss Utalii Tanzania 2020 Ruvuma Fidea Hilary yupo katika Mkoa wa Ruvuma akitembelea vivutio mbalimbali vya utalii.Hapa ni katika mji mdogo wa Peramiho mkoani Ruvuma ambao umesheheni vivutio vya utalii wa kihistoria likiwemo kanisa lenye saa ya ajabu ambayo haijawahi kupoteza majira wala kurekebishwa tangu kujengwa kwa kanisa hilo mwaka 1943.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.