Miss Utalii Tanzania 2020 Ruvuma Fidea Hilary anaendelea na ziara ya kutembelea vivutio vya utalii Mkoa wa Ruvuma lengo likiwa ni kuvitangaa ili kukaribisha wawekezaji ambao wataendeleza sekta hiyo ambayo inachangia kukuza pato la Taifa.Hapa ni wakuu wa wilaya za Tunduru Julius Mtatiro na Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Sophia Kizigo wakiwa na mrembo huyo wa utalii katika Mkoa wa Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.