MILANGO ya utalii katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma imefunguka ambapo mji wa Mbambabay unatarajia kuwa mji wa kitalii kutokana na kuwa na vivutio mbalimbali vya utalii zikiwemo fukwe za asili,mlima Mbambabay,visiwa vya Lundo na Mbambabay.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=HjfE9daLpGg&t=40s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.