HISTORIA ya Vita ya Majimaji iliyopiganwa mjini Songea mkoani Ruvuma kuanzia mwaka 1905 hadi 1907 imefungua ukurasa mpya baada ya Kansela wa Ujerumani kutoa mtaa unaoitwa Majimaji jijini Berlin nchini Ujerumani.
Wajerumani kwenye vita ya Majimaji waliwanyonga mashujaa 67 wa Majimaji mwaka 1906 na kuzikwa ndani ya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.